kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 375
- 410
Wakuu wanajamvi poleni na pilika za maisha
Nina mpango wa wa kufanya biashara ya ng'ombe katika mfumo mmojawapo kati ya hii:
Pia naomba wenye uzoefu mnisaidie mawazo.
Nawakaribisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina mpango wa wa kufanya biashara ya ng'ombe katika mfumo mmojawapo kati ya hii:
- Kunenepesha (nanunua bei rahisi wakati wa kiangazi nawapa lishe vizuri wakinenepa niwauze
- Kununua ndama niwatunze wakiwa wakubwa niwapige bei
- Ninunue mitamba(ng'ombe jike) nawapandisha wakipata mimba nawauza!)
- Nifuge ng'ombe wa kawaida mchanganyiko
Pia naomba wenye uzoefu mnisaidie mawazo.
Nawakaribisha
Sent using Jamii Forums mobile app