kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 375
- 410
Nunua ng'ombe,pakia kwenye fuso kauze,nunua mnada huu,uza mnada ule,nunua mnada huohuo ila nje ya mnada,ingiza mnadani kula Cha juu hata hamsini hamsini,
Hivyo ndo wanafanya wanaotaka kupandisha mtaji chap chap,kuliko ufuge usubiri faida miezi mitatu mbele
Asante sana mkuuNunua ng'ombe,pakia kwenye fuso kauze,nunua mnada huu,uza mnada ule,nunua mnada huohuo ila nje ya mnada,ingiza mnadani kula Cha juu hata hamsini hamsini,
Hivyo ndo wanafanya wanaotaka kupandisha mtaji chap chap,kuliko ufuge usubiri faida miezi mitatu mbele
Kama huna haraka nunua kwa 200k wakikua unauza kwa 700k uvumilie kama miez7 had mwaka
Sure,ntakupa namba iwapo atanikubaliaAsante sana mkuu
Je naweza kupata conection zaidi? Naomba kama una uzoefu au unaweza kuniunganisha na mtu mzoefu ili awe mwenyeji wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa.Unanenepesha kwa miezi 3.tu!.Zaidi ya hapo ni hasara.Njia hiyo ni rahisi kwa watu wa Kanda ya Ziwa.Ngombe analishwa yale Makapi ya Pamba,siyo Mashudu.Bali Makapi.Ndiyo maana njia hii siyo rahisi kwa mikoa isiyolima PambaHiyo namba moja ni muhimu sana
God save us
Hii unaweza kuifanya ukiwa mikia mingine.Kweli kabisa.Unanenepesha kwa miezi 3.tu!.Zaidi ya hapo ni hasara.Njia hiyo ni rahisi kwa watu wa Kanda ya Ziwa.Ngombe analishwa yale Makapi ya Pamba,siyo Mashudu.Bali Makapi.Ndiyo maana njia hii siyo rahisi kwa mikoa isiyolima Pamba
Sent using Jamii Forums mobile app