Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Miaka ya nyuma kidogo tulikuwa tunasikia shuhuda za watu waliofanikiwa kimaisha kuna matajiri walianza kufanya biashara za ajabu ukimuona sasa huwezi kuamin
Wapo walioanza biashara kuuza karanga kutembeza mitaani hadi kuja kumiliki magorofa
Wapo walikuwa machinga mitaani wanatembeza ungo na sufuria leo hii ukiwaona sio wao tena
Yupo jamaa mmoja alianza na mtaji wa elfu 10 kuuza sigara kwa sasa ni tajiri wa kutisha
Hizi ni shuhuda chache tulizokuwa tunazisikia kutoka kwa watu waliofanikiwa
Tuongelee maisha ya sasa imekuwa vipi muuza karanga amebaki kuuza karanga chinga amebaki kuwa chinga miaka yote mifumo ya kupata hela imebanwa na serikali au kuna namna wenzetu walituzidi maarifa