Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitaka kuwa tajiri lazima ukubali kuvunja mifumo uliyoizoea.
Kuna Tajiri namjua yeye alikuwa mwajiriwa enzi za Rais Magufuli.
Enzi zile za vyeti feki jamaa akasanuka avuta bonge Moja la Mkopo akasepa.
Saivi anamiliki ma hardware na biashara kedekede.
Lazima u take risk, uvunje mifumo.
Upige Dili
Uibe
Ukimbie na kibunda.
Uende kwa Babu.
Ule Hela za wajinga.
Yaani mambo meusi meusi.
Hata wanasiasa wanavunja sana mifumo.
Sio watu wa kufuata mifumo.
Utajiri hauna MSTARI mnyoofu.Kwa hyo mkuu njia ya utajir sio mstaar mnyoofu?[emoji28]
Iv kwann hatuamin kuwa Mungu anaweza kumpa mtu utajiri wa haki?kama Ibrahim/ayubu/suleiman
Napo,njia ya Mungu n ngumu lkn inafikika
Lengo kubwa iwe uhuru wa kifedha,utajiri huko n mbali zaid pengne Mungu/miungi ikupe tu kama bonasi