Tupendane Tena!! Tuwe na Umoja Tena....

Heeee.....kumbe nlipitwa eeenh! Na mie nnavopenda umagomeni, plus ongezeko la homonz nahisi ningetusi kila mja! Akheri vimenipita!

Karibu nala zangu magimbi leo.....!!!

teh teh teh! kwa kuvunga haujambo dada wa udukuzi...
 
Ushemeji wa mashaka huu
 
huku hata sipaelewi , watu wananuniana na kutoana ngeu kwenye keyboards........

kuna kitu nimekiweka hebu nenda kakicheki ni vile vitu unavyoshindwa kuacha..........
ha ha ha weee usiniambie ngoja niende jmn shem Madame B nisindi jmn
 
Last edited by a moderator:
mzee, mie na uzi gani tena, mie nina taji tu la umiss chit-chat sina uzi lol!

Btw uko poa wewe
ni ule uzi wa kukupongeza nazani mzee anakumbushia huo nilikuta 7 pos quotes but ikawa deleted lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…