Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushemeji wa mashaka huurudisha moyo shemeji mungu anataka tusameheane sio siri upande wao ulikuwa na watu wenye chuki na dhalii lakini uchaguzi umeisha tusameheane shemeji mie uchungu na hasira yangu yote nimeuyeyusha kwa barafu akhaaa kiroho safi rudisha moyo shemeji yangu mpenzi ,,,,,mwaaaaah,,,,pokea kisss langu,,,,hug,,,,na hivi na vile
ha ha ha weee usiniambie ngoja niende jmn shem Madame B nisindi jmnhuku hata sipaelewi , watu wananuniana na kutoana ngeu kwenye keyboards........
kuna kitu nimekiweka hebu nenda kakicheki ni vile vitu unavyoshindwa kuacha..........
mhh hivyo vingleza vyao ntaviwezea wapijaribu kumgoogle. ni mwanamziki wa marekani huyo. mi napenda ule wimbo wake wa getting no better nadhani alimshirikisha sasha. mia
Ule uzi wa Lady doctor umepelekwa wapi?!!
ha ha ha ha inanoga sanaKuridhiana kwa mahug na ma kiss + malove love! kunanoga sana....
ni ule uzi wa kukupongeza nazani mzee anakumbushia huo nilikuta 7 pos quotes but ikawa deleted lolmzee, mie na uzi gani tena, mie nina taji tu la umiss chit-chat sina uzi lol!
Btw uko poa wewe
mkuu rutashobolwa upopacha wako Lady doctor.