Tupendane Tena!! Tuwe na Umoja Tena....

hahahaaa.... Inawezekana nikawa kama Afande nini, lol!
 
Last edited by a moderator:
amu kampeni ilikuwa ngumu sijapata kuona,
you cant imagine unakaa macho hadi saa saba usiku
unafanya hiyo kitu, looooh. Yataka moyo sana.

We acha tu.... laiti wangejua mie hadi wezi waliiba lindoni kwangu wakati niko busy na kampeni...... Ilibaki kidogo kiote nyasi, sema nilimtishia Mhindi kuwa akini fire tu namroga ndo akaniacha...
 
Last edited by a moderator:
We acha tu.... laiti wangejua mie hadi wezi waliiba lindoni kwangu wakati niko busy na kampeni...... Ilibaki kidogo kiote nyasi, sema nilimtishia Mhindi kuwa akini fire tu namroga ndo akaniacha...

hahahaaa........! Baba V game ilikuwa ngumu mbaya wengine ukiwaomba kura ndo wanapata mwanya wa kukutongozea hapohapo lol!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…