Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
Kabisa 150 %Hhahahahahaha huyu kaka anafaa sana....
Cc mimi49
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa 150 %Hhahahahahaha huyu kaka anafaa sana....
Cc mimi49
mwungwana anakupenda believe me,ukimtosa hata ahera haiendeki
i wish moyo wako uwe na macho ili ujue anakupendaje
mhurumie @mwungana,we ndo faraja yake
silipwi ila anakupenda,mi mjumbe tuUnalipwa?
una mapozi wewe acha tu,huyo uliye naye lazima anajihisi mwisho wa maishaKabisa 150 %
ndo mfalme wa ryhmes aliyopo tanzania. Baada ya yeye kushinda hilo shingano halijarudiwa tena. lilipigwa marufuku na wasanii kuapa kutoshiriki tena. Watu walitaka prif J ndo ashinde lakini siku ya fainali afande aliimba vizuri bila kukosea ukilinganisha na akina prof. j inspector nk. ndo maana afande sele anajiita mfalme sele. mia
naona umeamkahahahaaa.... Inawezekana nikawa kama Afande nini, lol!
naona umeamka
pole sana,inawezekana mda wa kazini umefika na hujalala shem,nakuhurumiajeyeah, sikuhizi nalala kama pono.... Sijui ndo nakuwa? Lol!
pole sana,inawezekana mda wa kazini umefika na hujalala shem,nakuhurumiaje
december nagombea umiss chit chat hapa naanza maandalizi campaign managers wa Ladycoctor na shansarie ninawabook kabisa munifanyie kampeni
cc Madame B ladydoctor Madame B Mamndenyi kiwatengu Mzee figganigga @24 hrs e.t.c e.t.c
katiba ipo wazi kabisaaaa hakuna kugombea zaidi ya mara 2 ndani ya mwaka mmoja hasa ukishashinda
cc Arushaone Ruttashobolwa Baba V watu8
amu kampeni ilikuwa ngumu sijapata kuona,
you cant imagine unakaa macho hadi saa saba usiku
unafanya hiyo kitu, looooh. Yataka moyo sana.
We acha tu.... laiti wangejua mie hadi wezi waliiba lindoni kwangu wakati niko busy na kampeni...... Ilibaki kidogo kiote nyasi, sema nilimtishia Mhindi kuwa akini fire tu namroga ndo akaniacha...
uwezekano huo upo. wangu! si unajua arusha ni tawi langu pia?