Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi najua wii haya mambo hamna kusema ni CC wala nini huwa kunakuwa na emotion involved
mie huwa nashangaa mtu anasema inakuwaje mtu anachukia mambo ya nyuma ya keyboard.......
as humans kuna vitu lazima vikukwaze na mie nilijua tu pale na sikukuona kuchangia mle hata
ila yameisha tugange yajayo WII
That is my wii.......nakupendaje jana leo na kesho
Kabisa wii sikutaka kutia neno kule maana najijua, lazima ban ingenihusu hahahaaa sitakagi masihara mie lol!
Ila sasa yameisha wii wangu kiroho kwatuu na upendo uleule kama zamani!!!!!
ha ha ha ana bahati ya kuzaliwa cc: Heaven on EarthSafi sana! naona bibie farkhina anabahati sana kupata mume kama wewe!! hongera zake...
​ndo maana nakupenda mdada yanguKabisa wii sikutaka kutia neno kule maana najijua, lazima ban ingenihusu hahahaaa sitakagi masihara mie lol!
Ila sasa yameisha wii wangu kiroho kwatuu na upendo uleule kama zamani!!!!!
rudisha moyo shemeji mungu anataka tusameheane sio siri upande wao ulikuwa na watu wenye chuki na dhalii lakini uchaguzi umeisha tusameheane shemeji mie uchungu na hasira yangu yote nimeuyeyusha kwa barafu akhaaa kiroho safi rudisha moyo shemeji yangu mpenzi ,,,,,mwaaaaah,,,,pokea kisss langu,,,,hug,,,,na hivi na vile
ha ha ha ana bahati ya kuzaliwa cc: Heaven on Earth
shoga angu we si huwa unasisitiza kumaliza mambo jaman
Hee!
Sasa Shem , hiyo sasa si itakua mibifu ya Kinyaru? Yaani lile debe nilokupigia ukaenda Kigali semina , gharimu yake ndo hii ?
safi sana...
we wa ukweli sana!!
unaikumbuka kusini lakini? au ulivyomaliza ndiyo ulikata maguu kabisa huku?
karibu tena
Usijali shemeji.
Sina beef na mtu mimi.
Nakupenda Shem.
upendo wa sasa na uzidi ule wa zamani!! much love!!
​ndo maana nakupenda mdada yangu