Tupende vya kwetu AJIBU ni mchezaji Aliyekamilika

Kiongozi kwani timu ya taifa anacheza Ajibu mwenyewe?

Unajua Rooney,Lampard,Jerald,Scholes mpaka wanazeeka hawajafanya chochote na Uingereza

Unajua Messi hana Kombe lolote na Argentina

Unajua Giggs hata wales haijawahi kufuzu kombe la dunia enzi zake
Si unamzungumzia Huyo jamaa yako kwanini usiweke Mafanikio yake hapa tumlinganishe na hao uliwataja, nachojua wachezaji wote wazuri wapo ligi nzuri na timu zenye hadhi sio hapa nchini.
 
Huyu dogo tumpe msimu mmoja tu baada ya hapo tunamsahau
Sasa balada ya kumwombe Mema Ndugu yako wewe unamwombea mabaya

Tupendane sis sote wamoja mbona
 
Umepanic mamaangu? Utableed sana mwaka huu, maana Ajib ndio kwanza tunamandaa. Endelea kutukana maana dawa ya hasira ni kutoa povu...
Sito-na siwezi hata siku moja kushobokea upumbavu kwa kuwa jicho lako ni fupi kama kimo chako utashobokea wengi na watakupiga na kukuacha, utajiuza sana mwaka huu maana naona mahaba yako sasa unayaelekeza nyuma ya mwili wako.
 
Angekuwa borA angeenda ulaya cio kanjunju fc
Wewe unaamini kila kitu bora kipo Ulaya.

Kwann isiwe kama yupo bora aje Yanga au Simba au hata Azam kwan sisi ndo Wa kula Mapanki,

Ila ipo siku atatoka tu kila mtu na ridhiki yake na kama ipo ipo tu

Lunyamila na ubora wake kaishia hapa hapa
 
Huo ndo ukweli kama kuna kosa ambalo Simba tulifanya ni kumruhusu Ajib aondoke aiseee yule jamaaa bonge moja La mchezaji
 
Hakuna haja ya Abuse language njoo na fact watu walioelimika hawatukanani

Hata kiongozi mmoja wa Simba kama wewe ni shabiki wa Simba alisema tukikutana na Yanga Mtu hatari ni Ajibu tu
Fact Zipi weka hizo sifa zake ambazo zinakuhamasisha hapa ili tujue na mafanikio yake ambayo amepata hadi sasa uwanjani, Sio kila upendacho watakipenda wote tumia basi akili yako ya kawaida hata kufahamu hilo.

Ajib ana kiwango kwako sio kwangu na hataweza kunishawishi kamwe.
 
Si unamzungumzia Huyo jamaa yako kwanini usiweke Mafanikio yake hapa tumlinganishe na hao uliwataja, nachojua wachezaji wote wazuri wapo ligi nzuri na timu zenye hadhi sio hapa nchini.
Niyonzima,Okwi,Kotei,Kamusoko,Papy,Ngoma hawa wote wametoka kwenye Nchi ambazo zinatuacha kisoka mbali sana ila leo wapo bongo.

Ukiwa nacho huwez jua kama kina dhamani

Wamekuja kina Jaja hapa,Coutinho kutoka Brazil tupende vya kwetu bana
 
Fact Zipi weka hizo sifa zake ambazo zinakuhamasisha hapa ili tujue na mafanikio yake ambayo amepata hadi sasa uwanjani, Sio kila upendacho watakipenda wote tumia basi akili yako ya kawaida hata kufahamu hilo.

Ajib ana kiwango kwako sio kwangu na hataweza kunishawishi kamwe.
Hapo sasa umeongea ukweli kumbe ni wewe binafsi basi hapo siwezi kukubadilisha kaka endelea tu na msimamo wako

Ila mpaka sasa kwa washambuliaji wa Ndani ajibu ana goli 5 akizidiwa goli 3 na okwi mganda huyu wa Simba

Na Assist za kutosha tofauti na Niyonzima ambaye hajafunga wala hajatoa assist yoyote
 
Yule jamaa hatar sana akiendele hivi tarehe 28 polisi wapelekwe wa kutosha pale uwanja wa taifa maana wang'oa viti watafanya yao
 
Niyonzima,Okwi,Kotei,Kamusoko,Papy,Ngoma hawa wote wametoka kwenye Nchi ambazo zinatuacha kisoka mbali sana ila leo wapo bongo.

Ukiwa nacho huwez jua kama kina dhamani

Wamekuja kina Jaja hapa,Coutinho kutoka Brazil tupende vya kwetu bana
Nasikitika sana na uelewa wako, Yaani ukiona mtu katoka nje ya nchi kwenda kucheza Nchi nyingine unaona ni Bonge la Mchezaji? Yule Jaja sina imani hata kama kule kwao Brazil walikuwa wanajua kama wanaraia wao anayecheza Tanzania.

Soka la kimataifa hata wewe unaweza kusajiliwa na Tp Mazembe ila ukawa pale kama mzigo wa timu.
 
Hapo sasa umeongea ukweli kumbe ni wewe binafsi basi hapo siwezi kukubadilisha kaka endelea tu na msimamo wako

Ila mpaka sasa kwa washambuliaji wa Ndani ajibu ana goli 5 akizidiwa goli 3 na okwi mganda huyu wa Simba

Na Assist za kutosha tofauti na Niyonzima ambaye hajafunga wala hajatoa assist yoyote
Siku Ajibu akitoka hapa nchini na akaenda nje ya nchi akipata mafanikio nitakuwa wa kwanza kuja hapa kumpongeza, wenye jicho la mwewe huwa wanaona mbali ila kama ni jicho la Nguchiro utaona tu ukucha wako.
 
Nasikitika sana na uelewa wako, Yaani ukiona mtu katoka nje ya nchi kwenda kucheza Nchi nyingine unaona ni Bonge la Mchezaji? Yule Jaja sina imani hata kama kule kwao Brazil walikuwa wanajua kama wanaraia wao anayecheza Tanzania.

Soka la kimataifa hata wewe unaweza kusajiliwa na Tp Mazembe ila ukawa pale kama mzigo wa timu.
Kaka sikuelewi unataka nn manake unakuja na hoja zako unataka majibu then ukijibiwa unapinga tena ulikuja na hoja Kama mzuri Aende ulaya nimekwambia mbona wapo wa Nje wanakuja kwetu.

Nani anaibeba Simba sasa kama sio Okwi

Waulize Azam Jaja aliwafanya nn Ngao ya jamii tena yalikua ni magoli safi kabisa

Tatizo letu hatuna uvumilivu ni sawa na Dan Serunkuma alivyokuja Simba
 
Huyu Ajib ni Samatta mwingine, angepata nafasi ya kucheza ligi nje ya Tz angeweza kufika mbali na kupata mafanikio makubwa.!
 
Nasikitika sana na uelewa wako, Yaani ukiona mtu katoka nje ya nchi kwenda kucheza Nchi nyingine unaona ni Bonge la Mchezaji? Yule Jaja sina imani hata kama kule kwao Brazil walikuwa wanajua kama wanaraia wao anayecheza Tanzania.

Soka la kimataifa hata wewe unaweza kusajiliwa na Tp Mazembe ila ukawa pale kama mzigo wa timu.
Unadhani hizo pesa wanaokota kaka yani wakusajili ukale Sembe yao tu.

Kila mchezaji yupo kwenye plan za kocha inategemea kocha atatumia mfumo upi

Ref Fellaini na Mourinho wengi walimwona garasha tu ila kwa Fellaini Mourinho umwambii kitu
 
Siku Ajibu akitoka hapa nchini na akaenda nje ya nchi akipata mafanikio nitakuwa wa kwanza kuja hapa kumpongeza, wenye jicho la mwewe huwa wanaona mbali ila kama ni jicho la Nguchiro utaona tu ukucha wako.
Time will tell na dalili za Mvua ni mawingu.

Anazidi kukomaa alienda all Masry Egypt

Okwi kaenda Norway karudi Bongo

Boban alikua Sweden karud bongo
 
Se-rongAjist: 24091158 said:
Huyu Ajib ni Samatta mwingine, angepata nafasi ya kucheza ligi nje ya Tz angeweza kufika mbali na kupata mafanikio makubwa.!
Labda Somalia. Ajibu haweZi kucheza Kaskazini wala magharibi ya bara hili.
 
Time will tell na dalili za Mvua ni mawingu.

Anazidi kukomaa alienda all Masry Egypt

Okwi kaenda Norway karudi Bongo

Boban alikua Sweden karud bongo
Unaogopa kusema Ajibu ataenda Djibouti na atarudi Bongo.
 
sielewi kwa nini simba tulimuacha kiulaini kiasi hiki, ajib namkubali!
 
Huyu Ajib msimu iliopita akiwa Simba alikua anacheza chini ya kiwango kumbe alikuwa kisha nunuliwa na upande wa pili.Na alichangia sana kuikosesha Simba ubingwa!!!
Kumbuka kuwa ndiye aliyesababisha mkashinda kombe la FA. La sivyo mngekuwa bado mnazifukuzia point za FIFA kwa DHL!!!
 
Back
Top Bottom