Unapokuwa na mahaba ya kugaragazwa utajikuta kuna siku utalambwa bila idhini yako, Ajibu Anacheza Mpira upi huo? Media kukenua kenua kwake ndiyo unaona ni Bonge la Mchezaji!!
Siwezi kubishana na wagonjwa wa ubongo na hasa ubongo wenye ukurutu kama wako, Ukimwona ni bora kwako usilazimishe kila mtu amhusudu huyo bwana yako ndiyo maana licha ya Messi kutwaa tuzo 5 za Ballon'dor kuna watu hata hawana mapenzi nae kila mtu ana jicho lake usitake jicho lako liwe la kila mtu, Ushabiki wa Kipumbavu kama wako wa kutaka kile unachoamini kila mmoja akipende ni ushoga wa ufahamu.
Osha kichwa chako huwenda una wigi linakufanya akili yako ilale.