Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Si unamzungumzia Huyo jamaa yako kwanini usiweke Mafanikio yake hapa tumlinganishe na hao uliwataja, nachojua wachezaji wote wazuri wapo ligi nzuri na timu zenye hadhi sio hapa nchini.Kiongozi kwani timu ya taifa anacheza Ajibu mwenyewe?
Unajua Rooney,Lampard,Jerald,Scholes mpaka wanazeeka hawajafanya chochote na Uingereza
Unajua Messi hana Kombe lolote na Argentina
Unajua Giggs hata wales haijawahi kufuzu kombe la dunia enzi zake
Sito-na siwezi hata siku moja kushobokea upumbavu kwa kuwa jicho lako ni fupi kama kimo chako utashobokea wengi na watakupiga na kukuacha, utajiuza sana mwaka huu maana naona mahaba yako sasa unayaelekeza nyuma ya mwili wako.Umepanic mamaangu? Utableed sana mwaka huu, maana Ajib ndio kwanza tunamandaa. Endelea kutukana maana dawa ya hasira ni kutoa povu...
Wewe unaamini kila kitu bora kipo Ulaya.Angekuwa borA angeenda ulaya cio kanjunju fc
Fact Zipi weka hizo sifa zake ambazo zinakuhamasisha hapa ili tujue na mafanikio yake ambayo amepata hadi sasa uwanjani, Sio kila upendacho watakipenda wote tumia basi akili yako ya kawaida hata kufahamu hilo.Hakuna haja ya Abuse language njoo na fact watu walioelimika hawatukanani
Hata kiongozi mmoja wa Simba kama wewe ni shabiki wa Simba alisema tukikutana na Yanga Mtu hatari ni Ajibu tu
Niyonzima,Okwi,Kotei,Kamusoko,Papy,Ngoma hawa wote wametoka kwenye Nchi ambazo zinatuacha kisoka mbali sana ila leo wapo bongo.Si unamzungumzia Huyo jamaa yako kwanini usiweke Mafanikio yake hapa tumlinganishe na hao uliwataja, nachojua wachezaji wote wazuri wapo ligi nzuri na timu zenye hadhi sio hapa nchini.
Hapo sasa umeongea ukweli kumbe ni wewe binafsi basi hapo siwezi kukubadilisha kaka endelea tu na msimamo wakoFact Zipi weka hizo sifa zake ambazo zinakuhamasisha hapa ili tujue na mafanikio yake ambayo amepata hadi sasa uwanjani, Sio kila upendacho watakipenda wote tumia basi akili yako ya kawaida hata kufahamu hilo.
Ajib ana kiwango kwako sio kwangu na hataweza kunishawishi kamwe.
Nasikitika sana na uelewa wako, Yaani ukiona mtu katoka nje ya nchi kwenda kucheza Nchi nyingine unaona ni Bonge la Mchezaji? Yule Jaja sina imani hata kama kule kwao Brazil walikuwa wanajua kama wanaraia wao anayecheza Tanzania.Niyonzima,Okwi,Kotei,Kamusoko,Papy,Ngoma hawa wote wametoka kwenye Nchi ambazo zinatuacha kisoka mbali sana ila leo wapo bongo.
Ukiwa nacho huwez jua kama kina dhamani
Wamekuja kina Jaja hapa,Coutinho kutoka Brazil tupende vya kwetu bana
Siku Ajibu akitoka hapa nchini na akaenda nje ya nchi akipata mafanikio nitakuwa wa kwanza kuja hapa kumpongeza, wenye jicho la mwewe huwa wanaona mbali ila kama ni jicho la Nguchiro utaona tu ukucha wako.Hapo sasa umeongea ukweli kumbe ni wewe binafsi basi hapo siwezi kukubadilisha kaka endelea tu na msimamo wako
Ila mpaka sasa kwa washambuliaji wa Ndani ajibu ana goli 5 akizidiwa goli 3 na okwi mganda huyu wa Simba
Na Assist za kutosha tofauti na Niyonzima ambaye hajafunga wala hajatoa assist yoyote
Kaka sikuelewi unataka nn manake unakuja na hoja zako unataka majibu then ukijibiwa unapinga tena ulikuja na hoja Kama mzuri Aende ulaya nimekwambia mbona wapo wa Nje wanakuja kwetu.Nasikitika sana na uelewa wako, Yaani ukiona mtu katoka nje ya nchi kwenda kucheza Nchi nyingine unaona ni Bonge la Mchezaji? Yule Jaja sina imani hata kama kule kwao Brazil walikuwa wanajua kama wanaraia wao anayecheza Tanzania.
Soka la kimataifa hata wewe unaweza kusajiliwa na Tp Mazembe ila ukawa pale kama mzigo wa timu.
Unadhani hizo pesa wanaokota kaka yani wakusajili ukale Sembe yao tu.Nasikitika sana na uelewa wako, Yaani ukiona mtu katoka nje ya nchi kwenda kucheza Nchi nyingine unaona ni Bonge la Mchezaji? Yule Jaja sina imani hata kama kule kwao Brazil walikuwa wanajua kama wanaraia wao anayecheza Tanzania.
Soka la kimataifa hata wewe unaweza kusajiliwa na Tp Mazembe ila ukawa pale kama mzigo wa timu.
Time will tell na dalili za Mvua ni mawingu.Siku Ajibu akitoka hapa nchini na akaenda nje ya nchi akipata mafanikio nitakuwa wa kwanza kuja hapa kumpongeza, wenye jicho la mwewe huwa wanaona mbali ila kama ni jicho la Nguchiro utaona tu ukucha wako.
Labda Somalia. Ajibu haweZi kucheza Kaskazini wala magharibi ya bara hili.Se-rongAjist: 24091158 said:Huyu Ajib ni Samatta mwingine, angepata nafasi ya kucheza ligi nje ya Tz angeweza kufika mbali na kupata mafanikio makubwa.!
Unaogopa kusema Ajibu ataenda Djibouti na atarudi Bongo.Time will tell na dalili za Mvua ni mawingu.
Anazidi kukomaa alienda all Masry Egypt
Okwi kaenda Norway karudi Bongo
Boban alikua Sweden karud bongo
Kumbuka kuwa ndiye aliyesababisha mkashinda kombe la FA. La sivyo mngekuwa bado mnazifukuzia point za FIFA kwa DHL!!!Huyu Ajib msimu iliopita akiwa Simba alikua anacheza chini ya kiwango kumbe alikuwa kisha nunuliwa na upande wa pili.Na alichangia sana kuikosesha Simba ubingwa!!!