Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Siku Ajibu akitoka hapa nchini na akaenda nje ya nchi akipata mafanikio nitakuwa wa kwanza kuja hapa kumpongeza, wenye jicho la mwewe huwa wanaona mbali ila kama ni jicho la Nguchiro utaona tu ukucha wako.
Wewe unayejulikana uko wapi kama sio kuliwa na Vibopa kwa kiki za wanaume wenzako.
We mama tu, nani anakujua wewe kwenye soka?
Hauwi bora kwa kuukataa ubora wa wengine mama yangu. Maneno machafu ni dalili tu ya kupungukiwa ufahamuWewe unayejulikana uko wapi kama sio kuliwa na Vibopa kwa kiki za wanaume wenzako.
Ubora wa wengine haupimwi kwa kila mtu ndiyo maana kuna + na - sio kila pimbi mwenye akili kama zako atataka kuona kila mtu anapenda unachopenda.Hauwi bora kwa kuukataa ubora wa wengine mama yangu. Maneno machafu ni dalili tu ya kupungukiwa ufahamu
Kwani amezuiwa? Amewahi kufanya majaribio Golden Arrows ya Afrika Kusini (2016) na Harras El Hodood ya Misri (2017), na bahati haikuwa yake, hakufuzu. Kwa sasa aonyeshe makeke yake haha hapa Bongo ili ajiimarishe akiitwa tena kwenye majaribio, aweze kufuzuHuyu Ajib ni Samatta mwingine, angepata nafasi ya kucheza ligi nje ya Tz angeweza kufika mbali na kupata mafanikio makubwa.!
Hapa hatuzungumzii KUPENDA mamaangu, tunazungumzia ubora wa mtu. Mimi binafsi simpendi Christian Ronaldo, simpendi kweli kweli...lakini ukiniuliza kama Ronaldo ni bora nitakwambia NDIO bila kusita.Ubora wa wengine haupimwi kwa kila mtu ndiyo maana kuna + na - sio kila pimbi mwenye akili kama zako atataka kuona kila mtu anapenda unachopenda.
Zezeta kama wewe ni wa kuhurumia hasa waliokuzaa, unaweza kuta wazazi wako wanakonda kwa kuwa na jini kama wewe ila wewe hujui kwanini wazazi wako wanakonda. Nani kakulazimisha umuone Ajib ni mchezaji mzuri? Hivi huyo Mesi unayemzungumzia kuna mtu kasema yeye sio mchezaji mzuri au hujui maana ya kukubaliana na uhalisia wa kitu? Ubora wa mchezaji hauhitaji mtu binafs kumkubali, kwani kuna watu wanaikubali Tanzania kuliko hata Marekani ila mapenzi yao hayasababishi Marekani kutokuwa bora dhidi ya Tanzania.Unapokuwa na mahaba ya kugaragazwa utajikuta kuna siku utalambwa bila idhini yako, Ajibu Anacheza Mpira upi huo? Media kukenua kenua kwake ndiyo unaona ni Bonge la Mchezaji!!
Siwezi kubishana na wagonjwa wa ubongo na hasa ubongo wenye ukurutu kama wako, Ukimwona ni bora kwako usilazimishe kila mtu amhusudu huyo bwana yako ndiyo maana licha ya Messi kutwaa tuzo 5 za Ballon'dor kuna watu hata hawana mapenzi nae kila mtu ana jicho lake usitake jicho lako liwe la kila mtu, Ushabiki wa Kipumbavu kama wako wa kutaka kile unachoamini kila mmoja akipende ni ushoga wa ufahamu.
Osha kichwa chako huwenda una wigi linakufanya akili yako ilale.
Asante kwa nyama zaidi.Ukiwaondoa ALLY KIBA na DIAMOND PLATNUM mtu mwingine aliyebaki kuwa mburudishaji ni IBRAHIM AJIBU nukuu toka kwa HAJI MANARA
Hata Mimi nimelishuhudia hilo.
Kama kusema ninachokiamini ni dharau basi sawa, pia sidhani kama mimi ni dogo kuliko weweDogo acha madharau basi
Mbona mlikuwa mnamuweka benchi?Ajibu bora ni yule aliyekua Simba SC ambao ni mabingwa watarajiwa wa VPL, FA Cup, Kombe la Mapinduzi na Finalists wa CAF Confideration Cup katika msimu wa 2017/2018.. Huyu Ajibu wa Ndala ni "loo betri".. kuthibitisha hilo, TUKUTANE 28/10.
Yule mtangazaji alipagawa kiasi amestukia akitumia maneno wanayotumia watangazaji wa LALIGA kumpamba Messi.Asante kwa nyama zaidi.
Ila habari nyingi leo ni kuhusu mtangazaji wa jana wa huu mpira
Watu wamekuja juu kama vile walimpamba sana
Tusubiri lolote laweza tokea kwa yule mtangazaji kama sio barua ya Onyo
Yanga wana akili siyo sawa na mambumbumbu kukimbilia Niyonzima na kuamuacha AjibuYanga waliokota dhahabu
Mkuu mbona unatokwa bovu kama umekula omo?Acha mihemko ya kike kucheza kwangu na mpira na huyo bwana yako kunakuhusu nini? Kama angekuwa hatari mnavyodhani leo hii Timu yake ya Taifa ingekuwa inavurunda?
Aibebe timu yake ya taifa mabegani basi kama wenzake, sio kila mtu atakuwa na mahaba ya kufa kama wewe Ajib sioni uchezaji wake ni kwa vile Anafunga ndiyo maana mnaona ni Bonge la Mchezaji hana lolote.