Tupeni hela zetu tukafie mbele

Hayo ni mabango ya wahuni na wazushi wa Chadema wanawasingizia Mtwara.Leo ni mei mosi mbona hatujaliona Hilo bango?
Acha upimbi wewe,,Kuna mfanyakazi ambae hajalalamika kuhusu kikokotoo?
Kwenye mambo ya msingi ujinga wa vyama vya siasa peleka chooni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…