OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mtapewa nini wakati CCM imeshakula hela zenu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ni mabango ya wahuni na wazushi wa Chadema wanawasingizia Mtwara.Leo ni mei mosi mbona hatujaliona Hilo bango?Inasikitisha wastaafu kutoa kauli kama hizi
View attachment 2978192
Mtu anieleweshe kwanini serikali haitaki kutoa hizo fedha kama ilivyokuwa zamani??Inasikitisha wastaafu kutoa kauli kama hizi
View attachment 2978192
Nimekuelewa sasa.....Mtapewa nini wakati CCM imeshakula hela zenu?
Acha upimbi wewe,,Kuna mfanyakazi ambae hajalalamika kuhusu kikokotoo?Hayo ni mabango ya wahuni na wazushi wa Chadema wanawasingizia Mtwara.Leo ni mei mosi mbona hatujaliona Hilo bango?
Aina ya bango sio kikokotooAcha upimbi wewe,,Kuna mfanyakazi ambae hajalalamika kuhusu kikokotoo?
Kwenye mambo ya msingi ujinga wa vyama vya siasa peleka chooni.