Olabisii....π
π
π
... nilipenda pale olabisi anakimbizwa sijui na uncle wake ,ili akamatwe akakeketwe, sasa ikatokea huyo aliyekuwa anamkimbiza akateleza na kuanguka , hakumdaka huyu msichana.,, kitu kilichonifanya hii stori inichekeshe ni pale mwandishi anasema " he fell like he wanted to eat the earth "π€£π€£π€£