Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SIKU MOJA SAMSONIMFALILA ALINAMBIA NISOME KITABU CHA DANIEL KUNA HABARI YA SANAMU YENYE MCHANGANYIKO WA SHABA,CHUMA NA UDONGO....YALE MANENO HUWA HAYANITOKI KWA KWELI......nadhani hapa anaongelea wanaopokea sadaka na mafungu ya kumi.....yawe yanatolewa risiti for future reference.....ili ukipata baraka unasema because nilitoa sadaka kwa mama lwakatare..........ILA HUDMA YA UKAHABA NA ISHINDWE KWA JINA LA YESU ALIYE HAI.......TUOE NA WAKE ZETU WATATUPA KILICHO BORA ZAIDI YA HUDUMA ITOLEWAYO RISITI....HIYO 15,000-20,000 UKIACHA NYUMBANI NI BREAKFAST AMA LUNCH AMBAYO NYUMBANI WATOTO WATAMWAGA DUA ILI BABA UPATE TENA ZAIDI NA ZAIDI.....! AAAMMMEN....!
Bihashara haramu ya ngono! kujiuza machangudoa wawe wanatembea na mihuri , vitabu vya risiti na kalamu, watasahau kubeba zana sasa , halafu ile kasi ya chapchap inapungua, na hapo inabidi wafungue ofisi kabisa
biashara haramu yoyote duniani haina risiti na pia haina VAT
risiti za dukani/gengeni unazo ngapi leo hii mpaka utake na hizi?! basi mwishowe utataka muandaliwe menu na prices zake🙂