T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Tehteh...Akuuuuuuu, mi wala sio mchokozi. Mie nachochea tu labda uniite mchochezi eti.
700 haitadhuruNadhani 900 itapendeza zaidi. Hahah.
Hahahhaha, hata mi naliona kwa kweli. Hata la Dr.Shika halioni ndani aseee. Lol.
Tufanye 100 hahahaMie ntaweka 50 juu yake. Hahah.
Hahaha...Hahah, hapo sawa ila usiseme kwa sauti nisije nikachukuliwa na watu wasiojulikana eti.
.kumbe we ni manzi?Akuuuuuu
Aisee!Wanajangwani
Msukuma mwenzangu kibunda anacho, ila aliamua kupotezea baada ya kuona wazee wa mashati meupe a.k.a. TRAMjini raha sana..iv yule dokta sio kwamba ATM card yake iliisha mda wa matumizi kweli au alikua empty kweli?[emoji125]
Mtoto mzuri kama huyu, unaanzaje kumnyima Uadmin hapa JF ?
Kwanini uliacha kutumia tena?Back in the days I did, but I quitted.
Hiyo kitu hapanaSjatumia muda that's why nikasema nimei-miss.
Hahahhaha. Nadhani hii inapendeza zaidi. Lol.
Ya nani hii mkuu.
Bila shaka atakuwa witnessj