Tupia Avatar Unayoiona Inakuvutia, Inakushangaza, Inakuchekesha e.t.c

Tupia Avatar Unayoiona Inakuvutia, Inakushangaza, Inakuchekesha e.t.c

Hili ni tabasam la watu wenye pesa na kujiamini.. Na watoto wa kike wazuri wanatupenda watu kama sisi hasa wenye vipara maana tunajua hasa jupiga kipara...ha ha ha...
Hahahhaha, hata mi naliona kwa kweli. Hata la Dr.Shika halioni ndani aseee. Lol.

269577.jpg
 
Aisee, imenikumbusha mbali kweli hii kitu.

289804.jpg
 
[emoji2] [emoji3] [emoji3] Binafsi ya huyu Bwana Joseve...ilivyo tu harafu na majibu yake yanaendana kabisaaaaa.
 
Mjini raha sana..iv yule dokta sio kwamba ATM card yake iliisha mda wa matumizi kweli au alikua empty kweli?[emoji125]
Msukuma mwenzangu kibunda anacho, ila aliamua kupotezea baada ya kuona wazee wa mashati meupe a.k.a. TRA
 
Back
Top Bottom