Tupia Avatar Unayoiona Inakuvutia, Inakushangaza, Inakuchekesha e.t.c

Tupia Avatar Unayoiona Inakuvutia, Inakushangaza, Inakuchekesha e.t.c

Galadudu
232191.jpg

Hahahhaha, huyu kweli Galadudu.
Oooh sio

Jembekillo
61928.jpg

Tupia hiyo Avatar anayosema Gentries aisee.

kunaavatar moja hiv alikua nayo wanaume wamepanga msitari...

polisijamii
Tuletee hiyo Avatar bhana kwenye profile yako sioni Avatar yoyote Aiseee.

huyu hua nacheka sana hii avatar yake ya polisi mwenye bunduki anakimbizwa na kibaka mwenye panga...

Nitarudi.

Cc Gentries
Oooih sio galadudu ni ya General Galadudu
 
Back
Top Bottom