Tupia chochote ulichokifanya leo

Emar

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
1,789
Reaction score
2,965
Wakuu nawasalimia sana,

Uzi huu ni endelevu kwa ajili ya kuambiana chochote kilichokutokea leo. Mfano:
1. Umepata mchumba au umekutana na mtoto mzuri
2. Umeibiwa
3. Kuna tukio lolote mtaani kwenu
4. Birthday party na invitation ya harusi
5. Umepata kazi
6. Unaumwa
7. Una furaha
8. Umeshinda biko
9. Umepiga mkwanja na madili mengi
10. Umetoka out nk.

Jimwage kwa tukio lolote ulilokutana nalo leo. Uzi endelevu

Binafsi leo nimerudishiwa deni langu nililolidai miaka 5 hivu.Kama laki tano kwa hiyo weekend kwangu ni nzuri
 
Nimeshinda geto tu nimelala, baada ya kukesha usiku kucha.
 
Serikali iwalipe wakandarasi wa ndani tafadhali. Hizo wanazodai si pesa zao peke yao. Huku wametukopa vitu vingi kwenye ofisi zetu. Kutulipa sisi ni mpaka walipwe
 
Nimeibiwa hela, nimekula mahala chakula cha hovyo kabisa bill imekuja kubwa kuliko uhalisia, ninelipa ila roho yangu imeuma sana
Oa Mkuu, Matatizo madogomadogo yataisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…