Tupia chochote ulichokifanya leo

Nimetengeneza Taa ya Chooni na Bafuni, Nimesafisha nyumba, nimeblock watu 18 kwenye simu, Nimefua nguo,...
 
Hao watu wanekufanya nini mkuu

Wawili wameniomba Hela, Wengine ni michepuko ya zamani sijui kwann inarudi karibu na December, mwingine ni boss wangu nitamfungua jumatatu, wengine nawadai tokea mwezi 2018 naona haina maana nime give-up na nimewablock, sitaki kuona status zao wanakunywa bia wakati hela yangu hawalipi
 
leo nimepiga nyeto bao 3,den nikaenda kuangalia game ya man city na Newcastle...
 
Pole sana mkuu,siku hizi kwakweli watu wamekuwa wagumu sana kulipa madeni,yani,mtu unamuamini lakini shida yake ikiisha anakudharau,kuna jamaa namdai pesa zangu,juzi ananipigia simu ananiuliza chimbo zuri ampeleke demu wakeπŸ˜‚πŸ˜‚
 
leo nimepiga nyeto bao 3,den nikaenda kuangalia game ya man city na Newcastle...
Alafu ukatoa draw[emoji28][emoji28][emoji28]
Tunawambia acheni chaputa hamtaki , haya sasa umewaponza wenzako. MAN CITY
 
Pole sana mkuu,siku hizi kwakweli watu wamekuwa wagumu sana kulipa madeni,yani,mtu unamuamini lakini shida yake ikiisha anakudharau,kuna jamaa namdai pesa zangu,juzi ananipigia simu ananiuliza chimbo zuri ampeleke demu wakeπŸ˜‚πŸ˜‚

Ahhaha dah watu wanazingua. Ni bora kukubali hela imeenda kuliko kuendelea kujipa Matumaini.
 
Sasa kama mimi nimepigana na mtu kumbo hadi akakalia matako chini sijapiga picha hapa naiwekaje sasa
 
Leo ni jumapili Muende kanisani, msigegedane,
Msikule tunda kimasihara wala msiliwe
Usitume na yakutolea , usichepuke
Jf msifute comments za kuliwa tunda kimasihara
 
Jana niliopoa kadada karembo hapa mtaani, nikaendanako ghetto kukafukunyua πŸ†πŸ‘.

Round mbili nikakagongea ndomu ili kuadhimisha AIDS DAY (Dec 1)πŸ€”, ilipofika saa 10 weee cha 3 kitamu, si nikanogewa nikapiga dry na kusahau kuwa mdudu yupo.

Sasa hivi niko pharmacy natafuta PEP, jamani UKIMWI umekaa pabaya sana, yaani ni palepale panaponoga na penye utamu kolea 😒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…