Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,644
- 1,648
Ukizipata mkuu hizi nisaidie nazitafuta sana na mimiMi naomba mwenye jimbo hizi... Au nielekezwe ninakoweza kuzipata:
Naioth Prophetical singers - Mapambazuko ( hawa waliimba ule wimbo wa unangoja nini)
Kinondoni Revival Choir - Wrong number ( hawa waliimba wimbo wa dini iliyo safi, ambao Kwa sasa hivi wameutolea remix)
Prophetical singer ninazo.. Ila kasoro huo tuuUkizipata mkuu hizi nisaidie nazitafuta sana na mimi
Zi upload hapa mkuuProphetical singer ninazo.. Ila kasoro huo tuu
Shetani alikutanisha Baraza Sunday School Choir, Mwalimu Mwaijumba akiongoza jahaziWakuu naomba tutupie nyimbo kali za gospel zilizobamba sasa na zamani hapa bongo na east africa kwa ujumla. Hii itatusaidia kuzidownload pia na kutafuta album husika. Hii iwe special thread.
Ugandan:Wakuu naomba tutupie nyimbo kali za gospel zilizobamba sasa na zamani hapa bongo na east africa kwa ujumla. Hii itatusaidia kuzidownload pia na kutafuta album husika. Hii iwe special thread.
Katika viumbe vyote
Wakuu naomba tutupie nyimbo kali za gospel zilizobamba sasa na zamani hapa bongo na east africa kwa ujumla. Hii itatusaidia kuzidownload pia na kutafuta album husika. Hii iwe special thread.