Tupia hapa maneno mazuri ya kumwambia umpendae

Ndio, kila Kweny watchlist yangu ya week huwa ziko animations 2 hadi 4
Basi bwana me ndo nimeangalia ile inaitwa vivo daah aisee sony animation pictures wanajua walee jamaa daah
 
Simpendi Leonardo kwa sababu ya msemo wake, namkubali Gee underscore machine
Leonardo anajitahidi mkuu ila kwa upande wa comedy namkubal mc mboneke, jay kiporo, mr mkazi na wengine
 
Leonardo anajitahidi mkuu ila kwa upande wa comedy namkubal mc mboneke, jay kiporo, mr mkazi na wengine
Mbona unataja watu wa mbeya tu, acha ubaguzi. Kuna Steve ananichekeahaga sana, na mkazi nae yuko vizuri ila
 
Mkazi yale. Maswali ya ikiwa..........
Ikiwaaa, ikiwaaa kipenyo cha kichwa changu si sawa na chako, ikiwaaaa umeninyoa vibaya, ikiwaaa unanirudishia chenji mara kumi ya hela niliyokupa, ikiwaaaaπŸ˜‚
 
Kama umeiona apocalypto 02 nijuze mkuu ikoje maana nimesikia imetoka mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…