Tupia hapa maneno mazuri ya kumwambia umpendae

Kwanza mmeniharibia ratiba, nilitaka niangalie movie kuanzia saa 22:30 mpaka 02:00, Saiv sifui dafu
 
The angel you want, the angel you will have! & The devil you want, the devil you will have! So take care dear! 😂🤣

Kama hujaelewa na huna D hata Moja ( yaani ulipata 4 Haina ajira ) pitia kwa rasi simba
 
Uangalie muvi gani mkuu
Screenshot_20240914-002457.jpg

Mzigo wa leo huo lazima nimalize
 
The angel you want, the angel you will have! & The devil you want, the devil you will have! So take care dear! 😂🤣

Kama hujaelewa na huna D hata Moja ( yaani ulipata 4 Haina ajira ) pitia kwa rasi simba
Unajitahidi mkuu mm at least nina C 3 nimeelewa
 
The angel you want, the angel you will have! & The devil you want, the devil you will have! So take care dear! 😂🤣

Kama hujaelewa na huna D hata Moja ( yaani ulipata 4 Haina ajira ) pitia kwa rasi simba
Nimetokea kuwachukia watu wanaosema "Kama huna D mbili huwezi elewa" sijui kwanini
 
Back
Top Bottom