Tupia hapa maneno mazuri ya kumwambia umpendae

No, mimi sio tapel, ila niliwafanyia hicho kitu watu niliowafahamu kwenye namba ngeni, wakawa wakipiga napokea nakoroma huku nawataja majina yao, nawaambia jioni haifiki hana figo😂
Daaah aiseee hata Mm nilikuwaga napokea texts za hivooo ko kumbe C. E. O ni wewe
 
No, mimi nilifanya kwa enjoyment zangu mwenyewe 😊, lakini niliwaambia kuwa ni mimi, sasa shida namba ilisambaa nikasema nisije kunyea debe 😂 nikatupa laini chooni
 
U

Ukaamua kubadili namba au
 
Back
Top Bottom