Tupia hapa maneno mazuri ya kumwambia umpendae

Tupia hapa maneno mazuri ya kumwambia umpendae

Mkuu naomba nipumzike kichwa kizito.

Tulio single tunateseka sana
 
Nakupenda zaidi ya Messi anavyopenda Ballon d'or, hata ukinitesa kama Manchester united sitakuacha kwakua wewe ndo FA Cup ya moyo wangu, sasa Manchester united wa moyo wangu ntakuacha vipi na ninakumbuka tulimfunga Arsenal 8-2?

Nitese kama Bernard Morison alivyoitesa Yanga ila nitakuvumilia na nitakurudisha tena Moyoni, tunapitia mengi ila nikikuona natabasam zaidi ya shabiki wa mnyama anaekumbuka ushindi wa Simba kumfunga Yanga goli 5-0.

Kwa madini zaidi lipia ada.
😂😂🤣
 
Back
Top Bottom