Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

Nipo sana Comrade, zaidi napambana na haliyangu huku Buhuntubili njia panda kuelekea Imalamagigo kabla haujafika Nyamakwenke karibu na Nyaluyeye
Sawa mkuu situnatembea na grease huku
 
Wanajukwaa
heri ya mwaka mpya!
poleni na pilika za hapa na pale.

Uzi huu maalum iwe kwa kuwakumbuka memba wa JF ambao kwa sasa hatuwaoni wakitoa michango yao humu.
Iwe ametutoka kiroho au amebadili user ID au vinginevyo na kadhalika.
waliotutoka tutawaombea wapate makazi mema na wagonjwa tutawaombea wapate afya njema warudi humu.

Mi kuna mshkaji alikuwa anatoa michango mwanana sana ni kitambo simsomi humu anaitwa MANUU basi popote alipo namkaribisha sana

Malaria Sugu
 
Back
Top Bottom