Mkuu mbona dena uliletwa uzi hapa ametutoka.Mwana malundi, Dena amsi
wakati mwingine unaweza kuwa nje ya jukwaa kwa muda mrefuMkuu mbona dena uliletwa uzi hapa ametutoka.
Wewe huwa unafuatilia nyendo za shemeji yako? Unajuaje hayupo
Wewe mwenyewe umekuwa adimu sana
huyu katumbuliwaLizaboni
Alibadili jina tena, anajiita roger sterling kama sikosei.
Kumbe upo mkuu sijaona comments zako mda[emoji3]Atiii....