Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

Gaijin, very intelligent kaolewa UMANGANI nahisi Dubai ila sina uhakika. I miss her so much, I hope she is okay maana ndoa za umangani nyingi zina majaribu makubwa hasa kama mume ni mwarabu.

Gaijin

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Gaijin, very intelligent kaolewa UMANGANI nahisi Dubai ila sina uhakika. I miss her so much, I hope she is okay maana ndoa za umangani nyingi zina majaribu makubwa hasa kama mume ni mwarabu.
Kuna mshefa ana visima vya mafuta aliniputa ngoma hapa.

Nilikuwa radhi kuvaa kanzu kwenda Zenji nikasome kisomo na kula mpunga wa biriani la zaidi ya "Passing Show".

Nilikuwa namwambia, "Nyumbani si wanawajua Makomredi? Basi utawaambia tu huyu anavaa kanzu lakini Komredi".
 
There you go lol! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Basi mie nilikuwa napiga speed ile mbaya. Tulikuwa na kawaida ya kuchat sana kwenye PM kila nikiingiza gia anachomoa kwa kudai alikuwa na mpenzi wake hapa jamvini lakini hakutaka kuniambia.

Nikaanza uchunguzi wangu na kugundua kwamba you were just too sweet to her than any other lady on this forum😜😜😜

Nikamuuliza mupenzi wako ni Kiranga? Kwanini unadhani ni Kiranga? Nikajibu karibu kila uzi alipo kiranga nawe upo and vice versa. Jibu lake. mbona nawe upo karibu katika kila uzi ambao mie nipo? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hakuniambia nani ni mpenzi wake, lakini kutokana na uchunguzi wangu nilihisi ni wewe,

Mkuu ulitaka kuniingilia reli zangu sio?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ungejipatia mke bora sana Mkuu.

Mkuu ulitaka kuniingilia reli zangu sio?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ungejipatia mke bora sana Mkuu.
Tulikuwa tunagombea wengi pale.

Hapo ndipo utajua "many are called, but the chosen are few" kama usaili wa maombi ya kazi BOT!
 
Nawataja hawa Wafuatao...kiukweli kuna namna naona Gap lao...

1.YOYO
2.GAME THEORY
3.NGULI
4.BOFLO
5.MBU
6.BALANTANDA
7.ABTICHAZ
8.MIKE MUSHI (JF CO FOUNDER)
9.CHAI CHUNGU (mzee wa chai)
10.COMPANERO

hapo kila mtu ana touch yake, sijui wapo au hawapo...ila kama GAME THEORY alinifungua macho Mambo mengi ya nje ya Africa....

Michango yao tumeimiss sana.....kama wapo then wapite hata wasalimie tu then wapotee zao

cc...BAK,NN,ASHADEE and others
 
Kabisa Mkuu kwani alikuwa na qualities nyingi za kuwa wife material na alidai mpenzi wake wa humu yuko tayari kufunga pingu za maisha. Alikuwa anajitambua sana Dr.

Tulikuwa tunagombea wengi pale.

Hapo ndipo utajua "many are called, but the chosen are few" kama usaili wa maombi ya kazi BOT!
 
Reactions: amu
Nilimsahau na mzee wa utumbo

FIDEL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…