YaaaniMmh huyu sijamsoma siku mingi
Raha sanaMh Madame B we naye mhenga kama Mimi.. Miye mwenyewe mpotevu wa miaka sasa...ila nawakumbuka sana..
Namkumbuka mtu mmoja ambaye kwa jina ni Lizzy , palikuwa na Eliza wa Tegeta, kina @Michelle,au wa Tanga wale,kina @CHUACHAKARA,wa Arusha wale ...dah nawasahau..
Palikuwa na shemale mmoja nasahau jina lake..dah...
Chit chat tamu sana.. Idumisheni tu.. Mimi ID nilikuwa nikitumia gambachovu, chitchat family wakaniwekea swaga..nikawa GeeCee!!
Raha sana humu CC
yupoLizaboni
miss neddy yupo posta hotel moja kubwa ya kitaliiMiss neddy
Paloma
Sammyluv
kaolewa na mkristu marufuku kushika simuFaiza foxy......where is shee.......
Wewe mwenyewe umekuwa adimu sana
doh upo vizuri ila wengine wanakuwa wamerudi mavumbini sema hatufahamiani humu............ila mii nikivuta habari zangu mnazipata fasterUtafiti
Mzabzab
Himidini
Badili tabia
Excel
Reality
Miss neddy
Paprika
Housegirl
Loveissweet
Nyumba kubwa
Masai dada
Brenda18
Bushland
Konda wa boda boda
Shyland
Ushimen
Usser
Mjamaa
Gwahe
Mrembo wa kichaga
Cc Smart911
ahahaha huyu mpare atakuwa hanemoon