Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

Mh Madame B we naye mhenga kama Mimi.. Miye mwenyewe mpotevu wa miaka sasa...ila nawakumbuka sana..

Namkumbuka mtu mmoja ambaye kwa jina ni Lizzy , palikuwa na Eliza wa Tegeta, kina @Michelle,au wa Tanga wale,kina @CHUACHAKARA,wa Arusha wale ...dah nawasahau..

Palikuwa na shemale mmoja nasahau jina lake..dah...

Chit chat tamu sana.. Idumisheni tu.. Mimi ID nilikuwa nikitumia gambachovu, chitchat family wakaniwekea swaga..nikawa GeeCee!!

Raha sana humu CC
Raha sana
Tulikuwa tunakesha mpaka alfajiri kuchat
Kuna gfsonwin, snowhite, SnowBall, Paloma, Smile,
Kuna wale ambao nilikuwa nakesha nao Pm 24/7 akina Mu-sir, Bufa, Ruhazwe JR, stroke, CHAI CHUNGU, Vegetarian, Inkoskaz, Junior. Cux
Nyie ndo mlikuwa mnanifanya nalala saa kumi alfajiri....siwaoni tena.
Mmeoa au mmebadili ID?
Mie mbona mzungu....sina tatizo.

ChitChat ilikuwa na raha sana mhenga mwenzangu trachomatis
 
Utafiti

Mzabzab

Himidini

Badili tabia

Excel

Reality

Miss neddy

Paprika

Housegirl

Loveissweet

Nyumba kubwa

Masai dada

Brenda18

Bushland

Konda wa boda boda

Shyland

Ushimen

Usser

Mjamaa

Gwahe

Mrembo wa kichaga



Cc Smart911
 
Utafiti

Mzabzab

Himidini

Badili tabia

Excel

Reality

Miss neddy

Paprika

Housegirl

Loveissweet

Nyumba kubwa

Masai dada

Brenda18

Bushland

Konda wa boda boda

Shyland

Ushimen

Usser

Mjamaa

Gwahe

Mrembo wa kichaga



Cc Smart911
doh upo vizuri ila wengine wanakuwa wamerudi mavumbini sema hatufahamiani humu............ila mii nikivuta habari zangu mnazipata faster
 
Utafiti

Mzabzab

Himidini

Badili tabia

Excel

Reality

Miss neddy

Paprika

Housegirl

Loveissweet

Nyumba kubwa

Masai dada

Brenda18

Bushland

Konda wa boda boda

Shyland

Ushimen

Usser

Mjamaa

Gwahe

Mrembo wa kichaga



Cc Smart911
dah my friend una memory!
 
Back
Top Bottom