Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

Daaaahhh usipotee bana ,ukipotea nitaumwa ,ivi tuuu Leo nmekuona nmejihisi uponyaji yani ..hujui tuuu koment zako huwa niuponyaji mahali fuulani[emoji3] [emoji3]
73bd12916183549dd803265e06a33a3f.jpg

Ms Lincoln kabla hujapotea , naomba unipe jina lako na namba yako for insurance purpose [emoji120] [emoji120]
Aisee!
Ili uje kunifungulia uzi humu!
Wewe sikupi.
 
Ndiyo mkuu.
Duuuhh basi hapo itanibidi nikubaliane na matokeo tu kwamba "Alikuwepo"... ila unajua nn , Kuna namna tu Fulani ambayo Itakuwepo ,no matter utakua na ID mpya , Bado nitakua wakwanza kukutambua niww Ms Lincoln !!.
 
Back
Top Bottom