Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

Duuuu alipata uteuzi nini mbona kabadilisha jina?

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app

Sina uhakika ila ninachojua tu ni kwamba humu ' Jamvini ' labda ' Mamemba ' wasiokuwa na Multiple Id's ni Mimi na Wewe tu ila kuna wengine wana Id's zaidi ya 11 na ili kuonyesha kuwa hawataki mzaha na hawatanii hizo Id's zao zote zipo online kwa wakati mmoja huku zikitiririka na zikiserereka katika ' Forums ' mbalimbali zinazopatikana humu. Kazi Kwako / Kwenu.
 
Back
Top Bottom