Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Mpendwa kulala Hyatt regency wakati una mawazo ya kodi, madeni,ada nk huwezi kuenjoyNendeni Hyatt regency
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpendwa kulala Hyatt regency wakati una mawazo ya kodi, madeni,ada nk huwezi kuenjoyNendeni Hyatt regency
Kama hutaki kumisiwa mwezi huu basi sikumisi tenaTeh teh..kunimiss February ni matumizi mabaya ya missing.. Nimiss mwezi ujao baby
Nimefanyaje tena babyHizi dharau zishakukosesha mengi..Bado hujifunzi??
Mkuu vipi? mimi mbona nipo!?
MkuuNawaona tu.
Kweli ni ndugu yangu huyuQUIGLEY sijui nimepatia
Nimefurahi kukuona tena.. Ila wengi tunahitaji sana michango yako kwenye jukwaa la intelligenceNiambie mkuu.
Tunasonga?
Asante sana kwa heshima hii nisiyostahili uliyonipa.Nimefurahi kukuona tena.. Ila wengi tunahitaji sana michango yako kwenye jukwaa la intelligence