Tupia kauli za wachawi wa Yanga baada ya mechi ya Simba na Al Ahly

Tupia kauli za wachawi wa Yanga baada ya mechi ya Simba na Al Ahly

This is...

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
5,050
Reaction score
5,204
Utopolo walienda na matokeo uwanjani. Walidhani Simba itafungwa. Haikua hivyo. Kauli zao kwa Sasa ni:

1. Simba asanteni kwa kushiriki.
2. Wakienda Misri watapigwa nyingi.
3. Ingekua Yanga tungeshinda goli 5 kama za KMC.
4. Al Ahly wa kawaida sana.
5.........
6.........

NB: Uto mko kundi moja na Al Ahly CAFCL msijizime data mkajisahau.
 
Ningefungwa ungekuja hapa kusema nini labda.

Balansi story.

Timu ndogo inatoka sare na Al Ahly. Unafikiri wale Ni kmc na jkt.

Hakuna utopolo mwenye akili.

Nb: haijafungwa au na hili hujui.

Yanga vs Al ahly loading.........
Mimi japo siishabikii Yanga ila kwa jinsi ninavyoijua wachezaji ,benchi la ufundi ,uongozi,mpaka mashabiki itokee wacheze na Real Madrid au Bayern Munich halafu mechi iieshe 3-3 watahuzunika na kulia sana kuona wamepoteza mechi kizembe .

Kwa spirit na mentality yao naona wakifika mbali Africa na Duniani kwa ujumla.
 
Utopolo walienda na matokeo uwanjani. Walidhani Simba itafungwa. Haikua hivyo. Kauli zao kwa Sasa ni:

1. Simba asanteni kwa kushiriki.
2. Wakienda Misri watapigwa nyingi.
3. Ingekua Yanga tungeshinda goli 5 kama za KMC.
4. Al Ahly wa kawaida sana.
5.........
6.........

NB: Uto mko kundi moja na Al Ahly CAFCL msijizime data mkajisahau.
JamiiForums-1491104409.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi japo siishabikii Yanga ila kwa jinsi ninavyoijua wachezaji ,benchi la ufundi ,uongozi,mpaka mashabiki itokee wacheze na Real Madrid au Bayern Munich halafu mechi iieshe 3-3 watahuzunika na kulia sana kuona wamepoteza mechi kizembe .

Kwa spirit na mentality yao naona wakifika mbali Africa na Duniani kwa ujumla.
Unawazungumzia Hawa ambao Wana miaka 25 bila kucheza makundi Tena unawafananisha na R. Madrid.!

Punguza utani basi.

Bahati nzuri Mpira Ni mchezo wa wazi.
 
Kuna Laban og, alishangilia goli la kwanza la ahly lakini hakuonekana tena kwenye uzi wake!

Kuna Nalia Ngwena alisema eti wenye akili zao wanajua mama kaahidi m10 kwa goli kwa kuwa anajua simba haiwezi kupata bao!

Mwisho wa siku hata ukimtafuta kwa tochi kwenye uzi wake huo huwezi kumwona!

Nasikia kajifungia pahala akilia ngwena!! ngwena!! ngwena!! ngwena!!
 
Mchawi Gulwa huyu hapa!!
Ukiliangalia kwa umakini utagundua kubwa simba ina timu isiyoweza kufurukuta kwenye mashindano makubwa ya kimataifa. Kikosi chake ni dhaifu sana hasa katikati na nyuma. Hawana mlinda mlango wa kutumainiwa. Mechi za ligi kuu wanashinda kwa mbeleko ya waamuzi. Leo huenda ikawa siku ya aibu kubwa kwa soka la tanzania.
 
Back
Top Bottom