Tupia kauli za wachawi wa Yanga baada ya mechi ya Simba na Al Ahly

Utopolo walienda na matokeo uwanjani. Walidhani Simba itafungwa. Haikua hivyo. Kauli zao kwa Sasa ni:

1. Simba asanteni kwa kushiriki.
2. Wakienda Misri watapigwa nyingi.
3. Ingekua Yanga tungeshinda goli 5 kama za KMC.
4. Al Ahly wa kawaida sana.
5.........
6.........

NB: Uto mko kundi moja na Al Ahly CAFCL msijizime data mkajisahau.
🤣🤣🤣🤣💺
 
Tunazungumzia matokeo. Mambo ya sijui kuringa yamekujaje hapa.

Wadada wengine bhana kila kitu Ni mipasho
Kwa namna ulivyo amdika huu uzi inaonekana hata sare hukuiwazia. Yan unawapasha Yanga na mechi ni yako na haujashinda bado una ujasiri wa kukaa mbele ya wanaume kuandika huu upuuzi. SMH!!
 
Mimi japo siishabikii Yanga ila kwa jinsi ninavyoijua wachezaji ,benchi la ufundi ,uongozi,mpaka mashabiki itokee wacheze na Real Madrid au Bayern Munich halafu mechi iieshe 3-3 watahuzunika na kulia sana kuona wamepoteza mechi kizembe .

Kwa spirit na mentality yao naona wakifika mbali Africa na Duniani kwa ujumla.
Timu iliyofungwa na Ihefu ndiyo ifike mbali? Usisahau, Azam nao leo wana jambo lao estadio de mkapa
 
Kwasasa waarabu hawana hofu tena wakicheza na Simba kwa mkapa wamesha jua jinsi ya kudhibiti Tungulizenu.
Rajacasablanca walinwatandika na Ahly ilikua wawa tandike goli ata tano mna bahati.
Mechi ijayo upo uwezekano mkatandikwa tano, Dalili ya mvua ni mawingu.
Acheni porojo na tunguli, Ahly wako serious na soccer.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Redio.haiwezi kuwa na mahala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Laban og, alishangilia goli la kwanza la ahly lakini hakuonekana tena kwenye uzi wake!

Kuna Nalia Ngwena alisema eti wenye akili zao wanajua mama kaahidi m10 kwa goli kwa kuwa anajua simba haiwezi kupata bao!

Mwisho wa siku hata ukimtafuta kwa tochi kwenye uzi wake huo huwezi kumwona!

Nasikia kajifungia pahala akilia ngwena!! ngwena!! ngwena!! ngwena!!
Sasa mmepata hiyo mil 10?
 
Mimi japo siishabikii Yanga ila kwa jinsi ninavyoijua wachezaji ,benchi la ufundi ,uongozi,mpaka mashabiki itokee wacheze na Real Madrid au Bayern Munich halafu mechi iieshe 3-3 watahuzunika na kulia sana kuona wamepoteza mechi kizembe .

Kwa spirit na mentality yao naona wakifika mbali Africa na Duniani kwa ujumla.
Bhangi hazijawahi muacha mtumiaji salama! Watch out
 
Kijana aliyesema simba atafungwa sita huyu hapa👇
1697439556862.jpg
 
Ndio, kila goli unalofunga ni 10m, kwa magoli mawili ya jana ni 20m
Magoli yanakua counted kama timu imeshinda, kwanza ingekua ajabu kwa namna mlivyo pelekewa moto alafu mpewe na fedha, Ingekua Nchi yote imeambukizwa u mbumbumbu.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Utopolo walienda na matokeo uwanjani. Walidhani Simba itafungwa. Haikua hivyo. Kauli zao kwa Sasa ni:

1. Simba asanteni kwa kushiriki.
2. Wakienda Misri watapigwa nyingi.
3. Ingekua Yanga tungeshinda goli 5 kama za KMC.
4. Al Ahly wa kawaida sana.
5.........
6.........

NB: Uto mko kundi moja na Al Ahly CAFCL msijizime data mkajisahau.

Simba kaiheshimisha Tanganyika mbele ya dunia: Wachambuzi uchwara karibuni mtoe nyongo zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasasa waarabu hawana hofu tena wakicheza na Simba kwa mkapa wamesha jua jinsi ya kudhibiti Tungulizenu.
Rajacasablanca walinwatandika na Ahly ilikua wawa tandike goli ata tano mna bahati.
Mechi ijayo upo uwezekano mkatandikwa tano, Dalili ya mvua ni mawingu.
Acheni porojo na tunguli, Ahly wako serious na soccer.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hapa Ni baada ya matokeo ya mfukoni kufeli!

Hamna Cha kushika Ni full mahangaiko
 
Sasa mmepata hiyo mil 10?
Kila goli Ni milion 10 so siyo kumi Ni milion 20.

Mpumbavu km ww Hujui hata ahadi ya mama Ni Kila goli litakalofungwa Ni milion kumi.

Yamefungwa 2 Ni milion 20

Zwazwaaa!
 
Back
Top Bottom