This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Ningefungwa ungekuja hapa kusema nini labda.Ukiona unashangilia sare basic unashabikia timu ndogo sana.
Hizi zako ndiyo mentality za akili ndogo.Tumepambana Kiume.
Mentality za timu ndogo
Mimi japo siishabikii Yanga ila kwa jinsi ninavyoijua wachezaji ,benchi la ufundi ,uongozi,mpaka mashabiki itokee wacheze na Real Madrid au Bayern Munich halafu mechi iieshe 3-3 watahuzunika na kulia sana kuona wamepoteza mechi kizembe .Ningefungwa ungekuja hapa kusema nini labda.
Balansi story.
Timu ndogo inatoka sare na Al Ahly. Unafikiri wale Ni kmc na jkt.
Hakuna utopolo mwenye akili.
Nb: haijafungwa au na hili hujui.
Yanga vs Al ahly loading.........
Leta ile screenshot yako tenaTumepambana Kiume.
Mentality za timu ndogo
Makomandoo wangelinda uwanja saa hizi kakaaa tungekuwa tunashangilia kakaaa.Hizi zako ndiyo mentality za akili ndogo.
Nb: Simba haijafungwa.
Tunajua mlikuwa na matokeo mfukoni mkaumbuka.
Inategemea hiyo sare umetoa na team gani.Ukiona unashangilia sare basic unashabikia timu ndogo sana.
Ni wivu tuuuu...Inategemea hiyo sare umetoa na team gani.
Utopolo walienda na matokeo uwanjani. Walidhani Simba itafungwa. Haikua hivyo. Kauli zao kwa Sasa ni:
1. Simba asanteni kwa kushiriki.
2. Wakienda Misri watapigwa nyingi.
3. Ingekua Yanga tungeshinda goli 5 kama za KMC.
4. Al Ahly wa kawaida sana.
5.........
6.........
NB: Uto mko kundi moja na Al Ahly CAFCL msijizime data mkajisahau.
Tena ni home ground, basi bora hata ingekua ni away.Ukiona unashangilia sare basic unashabikia timu ndogo sana.
Uzuri ni kwamba watarudi tena mwezi ujaoTena ni home ground, basi bora hata ingekua ni away.
Unawazungumzia Hawa ambao Wana miaka 25 bila kucheza makundi Tena unawafananisha na R. Madrid.!Mimi japo siishabikii Yanga ila kwa jinsi ninavyoijua wachezaji ,benchi la ufundi ,uongozi,mpaka mashabiki itokee wacheze na Real Madrid au Bayern Munich halafu mechi iieshe 3-3 watahuzunika na kulia sana kuona wamepoteza mechi kizembe .
Kwa spirit na mentality yao naona wakifika mbali Africa na Duniani kwa ujumla.
Tunazungumzia matokeo. Mambo ya sijui kuringa yamekujaje hapa.Lakini hata Simba haijashinda sijui unaringia nini?