THE SHADOW ONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,201
- 1,974
Heshima yako1--Buffon
2--Lilian Thuran.
3--Paulo Maldin
4--Inonga Baka
5--Bobby more.
6--Lother Matheous
7--Christian Ronaldo
8--Michel Platin.
9--Pele
10--Maradona.
11--Lionel Messi.
Sub-- zico,
Garincha,
Ronaldo de Lima,
Gabriel batistuta.
Franz Bekanbauer
Litakufa jitu hapo
Shukran mkuuHeshima yako
1. RamsdaleWasalaam
Nakumbuka nlitengana na mpenzi wangu mmoja kisa , mpira
Mpira ni furaha yetu , tuna furaha nyingi sana ila mpira hauna kifani .
Mpira unatuumiza sana sometimes pale , timu zetu zinapokumbana na zahma tusiyoipenda
Lakini yote kwa yote, Mpira ni muhimili wetu.
Nakumbuka msemo wa Rafiki yangu mmoja chuoni alikuwa anawambia Marafiki zetu wa kike kwamba
"Kama mwanaume wako hapendi mpira , ni heri ukamfundisha na kufuma vitambaa'
Tuachane na huyo jamaa.
Leo hapa nataka uniwekee kikosi (first Eleven ) Yako/chako bora cha muda wote toka uanze kutazama mpira.
Cha wachezaji wako pendwa katika kikosi chako, mpaka hivi sasa.
Naanza mimi
1. Manuel Neuer
2. Kyle Walker
3. Marcelo
4. Sergio Ramos
5. Cannavaro
6. Sergio Busquets
7. Ronaldinho
8. Iniesta
9. Ronaldo CR7
10. Messi
11. Neymar
Coach Guardiola
Tupia nawewe kikosi chako bora cha muda wote
NB: Kwa mtazamo wako
Aishi Manula1. Kaseja
2. Swedi
3. Waso
4. Pawasa
5. Betwel
6. Matola
7. Mapunda
8. Shekhan
9. Gabriel
10. Macho
11. Machupa
Simuoni Fraga Vieeeeeeiraaaa!!Aishi Manula
Mohamed Hussein
Shomari Kapombe
Sergej Paschal Wawa
Joash Achieng Onyango
Jonas Mkude
Tadeo Lwanga
Clatous Chama
Louis Miquissone
Francis Kahata
John Raphael Bocco.
Subs.
Mzamiru, Kagere, Kennedy Juma, Erasto Nyoni, Hassan Dilunga, Shamte, Kakolanya.
Coach Sven Vandenbroek
Alicheza mechi chache sanaSimuoni Fraga Vieeeeeeiraaaa!!
Chukueni kikosi cha Barcelona 2008_2012 kiwe XI of all times
Huna mambo mengi😅Aishi Manula
Mohamed Hussein
Shomari Kapombe
Sergej Paschal Wawa
Joash Achieng Onyango
Jonas Mkude
Tadeo Lwanga
Clatous Chama
Louis Miquissone
Francis Kahata
John Raphael Bocco.
Subs.
Mzamiru, Kagere, Kennedy Juma, Erasto Nyoni, Hassan Dilunga, Shamte, Kakolanya.
Coach Sven Vandenbroek
Nmemuona Okocha hapo kweny sub bench1. Cassilas
2. Thuram
3. Maldini
4. Cannavaro
5. Nesta
6. Vieira
7. Gaucho
8. Zidane
9. Ronaldo (El Phenomenal)
10. Maradona
11. Messi
Substitutions:
12. Henry 13. Dida 14. Makelele 15. Scholes 16. Ronaldo (Cr7) 17. Iniesta 18. Jay Jay Okocha
Formation:
4-2-3-1
Coach:
Vicente Del Bosque
Hiki cha Moto [emoji91] sana ila kwa Namba 4 umechafua hali ya hewa!!1--Buffon
2--Lilian Thuran.
3--Paulo Maldin
4--Inonga Baka
5--Bobby moore.
6--Lother Matheous
7--Christian Ronaldo
8--Michel Platin.
9--Pele
10--Maradona.
11--Lionel Messi.
Sub-- zico,
Garincha,
Ronaldo de Lima,
Gabriel batistuta.
Franz Bekanbauer
Litakufa jitu hapo
[emoji3][emoji3]Hiki cha Moto [emoji91] sana ila kwa Namba 4 umechafua hali ya hewa!!
Augustine Azuka Okocha "Jay-Jay" akiwa PSG na Gaucho kiliwaka sana alikuwa an entertainer and genius. Nikimtoa Maradona, Gaucho anafuata Jay-Jay.Nmemuona Okocha hapo kweny sub bench
Moja ya kipaji nimewahi kukiona kwa waingereza ni Paul Scholes1. Ramsdale
2. Dan Alves
3. Marcelo
4.Rudiger
5.Sergio Ramos
6.Kante
7.CR7
8.Scholes
9.Ronaldo de Lima
10.Messi
11.Ryan Giggs
Coach: Klopp