jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
Alafu ulisahau kuaaga kisa mm nilikuwa ghafla!!!!Nilikuwa na wajibu wa kutembelea nyumba na kujua maendeleo ya watoto kiafya. Mara ya kwanza kwenda kwenye mzunguko niliingia nyumba ya waarabu, nilimkita babu wa wale watoto akanikaribisha sebuleni, akanipa glass ya juice.
Wakati ninapambana na glass ya juice ananiambia watoto wameenda holiday Dubai na mama yao. Ningeyajua haya wala nisingehitaji kuingia ndani.
Nilopomaliza glass ya juice nilitoka. Kulikuwa funzo, kila nilikokwenda nilibeba chupa yangu ya majivya Kilimanjaro, nikiulizwa kinywaji ninsema asante.
Kilichotea hujafafanuaNilikuwa na wajibu wa kutembelea nyumba na kujua maendeleo ya watoto kiafya. Mara ya kwanza kwenda kwenye mzunguko niliingia nyumba ya waarabu, nilimkita babu wa wale watoto akanikaribisha sebuleni, akanipa glass ya juice.
Wakati ninapambana na glass ya juice ananiambia watoto wameenda holiday Dubai na mama yao. Ningeyajua haya wala nisingehitaji kuingia ndani.
Nilopomaliza glass ya juice nilitoka. Kulikuwa funzo, kila nilikokwenda nilibeba chupa yangu ya majivya Kilimanjaro, nikiulizwa kinywaji ninsema asante.
hahahahaha sky umenifanye nicheke mwenyeweNilikuwa na wajibu wa kutembelea nyumba na kujua maendeleo ya watoto kiafya. Mara ya kwanza kwenda kwenye mzunguko niliingia nyumba ya waarabu, nilimkita babu wa wale watoto akanikaribisha sebuleni, akanipa glass ya juice.
Wakati ninapambana na glass ya juice ananiambia watoto wameenda holiday Dubai na mama yao. Ningeyajua haya wala nisingehitaji kuingia ndani.
Nilopomaliza glass ya juice nilitoka. Kulikuwa funzo, kila nilikokwenda nilibeba chupa yangu ya majivya Kilimanjaro, nikiulizwa kinywaji ninsema asante.
Nilikuwa na wajibu wa kutembelea nyumba na kujua maendeleo ya watoto kiafya. Mara ya kwanza kwenda kwenye mzunguko niliingia nyumba ya waarabu, nilimkita babu wa wale watoto akanikaribisha sebuleni, akanipa glass ya juice.
Wakati ninapambana na glass ya juice ananiambia watoto wameenda holiday Dubai na mama yao. Ningeyajua haya wala nisingehitaji kuingia ndani.
Nilopomaliza glass ya juice nilitoka. Kulikuwa funzo, kila nilikokwenda nilibeba chupa yangu ya majivya Kilimanjaro, nikiulizwa kinywaji ninsema asante.
Aisee imeniuma sana I don't know why.Nilikuwa na wajibu wa kutembelea nyumba na kujua maendeleo ya watoto kiafya. Mara ya kwanza kwenda kwenye mzunguko niliingia nyumba ya waarabu, nilimkita babu wa wale watoto akanikaribisha sebuleni, akanipa glass ya juice.
Wakati ninapambana na glass ya juice ananiambia watoto wameenda holiday Dubai na mama yao. Ningeyajua haya wala nisingehitaji kuingia ndani.
Nilopomaliza glass ya juice nilitoka. Kulikuwa funzo, kila nilikokwenda nilibeba chupa yangu ya majivya Kilimanjaro, nikiulizwa kinywaji ninsema asante.
Hahah lakini mkuu si ulikuwa umepanga bajeti sasa uliyeyukajeMimi mshahara wa kwanza uliisha kabla ata sijaupata, kwa namna nilivyoupangia mikakati, kuja kuupokea uliyeyuka tu ckujua ulienda wapi ata.
kati ya mwanaume na mwanamke nani anatakiwa kucheka cheka na nani anatakiwa kununua (kuweka wambuzi)..kama hana cha maana cha kukuambia ulitaka akupe umbea ili mchekeAisee mimi hapa job kuna jamaa tupo nae department moja ila ni anapenda kununa balaaa!!!! Yani kama mwanamke[emoji57] [emoji57] [emoji57] wakati kumbe ni mwanaume tu,inshort me namuona kama mwanamke tu maana unaweza kuingia ofisini asikusalimie wala nini mpaka siku inaisha nikimuuliza anasema ni lifestyle yake[emoji73] ....basi na me nakuwa napotezea tu like sina habari...[emoji41] [emoji41]
hahahahahahahh kisa demu ndo ununiwe dah kweli dada zetu wanamitihani mizito wawapo makazininiliamishwa kutoka kazi za field to kazi za ofisini
nlowakuta sjui walkua hawajapenda hakuna mtu alienifundisha kazi ila unashkuru after 1 week nlieza kufanya kazi mwenyewe
pia nlwah kuchukiwa na ofisi nzima kisa dem /mfanyakazi mpya
kuanzia bosi hadi dereva walkua wanamtaka kumbe m nlkua nshajimilkisha kimyakimya af walkua wanaonga ataree kila kilchokua kinaongwa nlkua nakchukua mimi ispokua vitu vya kike tuu
ilpokuja kujulkana nlchukiwa na ofisi nzima dem akaamishiwa makaomakuu na mimi nkaomba kurudi field tena nakumbuka nilisusa kazi kushinikiza nirudishwe field
bosi wangu alkua mzenji anaroho mbaya sjawai ona
Hahah lakini mkuu si ulikuwa umepanga bajeti sasa uliyeyukaje
alkua mtt1 mzuri sana bobhahahahahahahh kisa demu ndo ununiwe dah kweli dada zetu wanamitihani mizito wawapo makazini
TashititiNilikuwa na wajibu wa kutembelea nyumba na kujua maendeleo ya watoto kiafya. Mara ya kwanza kwenda kwenye mzunguko niliingia nyumba ya waarabu, nilimkita babu wa wale watoto akanikaribisha sebuleni, akanipa glass ya juice.