Tupia kisa ulichokutana nacho wakati unaanza kazi

jerryempire

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
5,530
Reaction score
9,550
Nimeanzisha uzi huu maalum kwa watu wote ambao walipata matatizo mbali mbali wakati wanaanza kazi(kuajiriwa)

Mimi nakumbuka wakati naanza kazi nilipangiwa Kigoma kikazi, nakumbuka siku ya kwanza naingia kazini nikapata kizungu zungu cha ajabu usiku kichwa kiliniuma mpaka basi midaa kama ya saa 8 usiku nikapitiwa na usingizi nlivyoamka nikajikuta nipo ziwani Tanganyika yani dah!

Sitasahau kiukweli
Tupia na wewe kisa chako
 
Nilikuwa na wajibu wa kutembelea nyumba na kujua maendeleo ya watoto kiafya. Mara ya kwanza kwenda kwenye mzunguko niliingia nyumba ya waarabu, nilimkita babu wa wale watoto akanikaribisha sebuleni, akanipa glass ya juice.

Wakati ninapambana na glass ya juice ananiambia watoto wameenda holiday Dubai na mama yao. Ningeyajua haya wala nisingehitaji kuingia ndani.

Nilopomaliza glass ya juice nilitoka. Kulikuwa funzo, kila nilikokwenda nilibeba chupa yangu ya maji ya Kilimanjaro, nikiulizwa kinywaji ninsema asante.
 
Nilikuwa na wajibu wa kutembelea nyumba na kujua maendeleo ya watoto kiafya. Mara ya kwanza kwenda kwenye mzunguko niliingia nyumba ya waarabu, nilimkita babu wa wale watoto akanikaribisha sebuleni, akanipa glass ya juice.

Wakati ninapambana na glass ya juice ananiambia watoto wameenda holiday Dubai na mama yao. Ningeyajua haya wala nisingehitaji kuingia ndani.

Nilopomaliza glass ya juice nilitoka. Kulikuwa funzo, kila nilikokwenda nilibeba chupa yangu ya majivya Kilimanjaro, nikiulizwa kinywaji ninsema asante.
Alafu ulisahau kuaaga kisa mm nilikuwa ghafla!!!!
 
Kilichotea hujafafanua
 
hahahahaha sky umenifanye nicheke mwenyewe
 
Hapa nimetoka kapa.Au kichwa changu bado kinawaza makinikia
 
Aisee mimi hapa job kuna jamaa tupo nae department moja ila ni anapenda kununa balaaa!!!! Yani kama mwanamke[emoji57] [emoji57] [emoji57] wakati kumbe ni mwanaume tu,inshort me namuona kama mwanamke tu maana unaweza kuingia ofisini asikusalimie wala nini mpaka siku inaisha nikimuuliza anasema ni lifestyle yake[emoji73] ....basi na me nakuwa napotezea tu like sina habari...[emoji41] [emoji41]
 
Nilikuwa na wajibu wa kutembelea nyumba na kujua maendeleo ya watoto kiafya. Mara ya kwanza kwenda kwenye mzunguko niliingia nyumba ya waarabu, nilimkita babu wa wale watoto akanikaribisha sebuleni, akanipa glass ya juice.

Wakati ninapambana na glass ya juice ananiambia watoto wameenda holiday Dubai na mama yao. Ningeyajua haya wala nisingehitaji kuingia ndani.

Nilopomaliza glass ya juice nilitoka. Kulikuwa funzo, kila nilikokwenda nilibeba chupa yangu ya majivya Kilimanjaro, nikiulizwa kinywaji ninsema asante.
Aisee imeniuma sana I don't know why.
 
Mimi mshahara wa kwanza uliisha kabla ata sijaupata, kwa namna nilivyoupangia mikakati, kuja kuupokea uliyeyuka tu ckujua ulienda wapi ata.
 
Hahah lakini mkuu si ulikuwa umepanga bajeti sasa uliyeyukaje
 
Aisee mimi hapa job kuna jamaa tupo nae department moja ila ni anapenda kununa balaaa!!!! Yani kama mwanamke[emoji57] [emoji57] [emoji57] wakati kumbe ni mwanaume tu,inshort me namuona kama mwanamke tu maana unaweza kuingia ofisini asikusalimie wala nini mpaka siku inaisha nikimuuliza anasema ni lifestyle yake[emoji73] ....basi na me nakuwa napotezea tu like sina habari...[emoji41] [emoji41]
kati ya mwanaume na mwanamke nani anatakiwa kucheka cheka na nani anatakiwa kununua (kuweka wambuzi)..kama hana cha maana cha kukuambia ulitaka akupe umbea ili mcheke
 
Dah aise nipeni pole
Mie bana siku nimepata mshahara wangu wa kwanza nilipewa cheque kwahiyo nikaichukua nikajisemea kesho nita deposit ili maisha yasonge
Ile narudi zangu jioni kama saa nne nikapita dukani kuchukua chupa kubwa ya maji ya uhai kwa ajili ya matumizi ya kunywa wakati ule kigeto geto sikuwa nachemsha maji
Ile kuingia dukani nikakumbana na majambazi wanavamia dukani hapo kwahiyo na mimi nikaingizwa kwenye kutekwa
Jamaa wakakomba 70 elfu na cheque yangu na Simu wakasepa zao
Niliwalani sana hata hivyo niliblock cheque kesho yake ili wasije wakapiga mzigo
 
niliamishwa kutoka kazi za field to kazi za ofisini
nlowakuta sjui walkua hawajapenda hakuna mtu alienifundisha kazi ila unashkuru after 1 week nlieza kufanya kazi mwenyewe

pia nlwah kuchukiwa na ofisi nzima kisa dem /mfanyakazi mpya
kuanzia bosi hadi dereva walkua wanamtaka kumbe m nlkua nshajimilkisha kimyakimya af walkua wanaonga ataree kila kilchokua kinaongwa nlkua nakchukua mimi ispokua vitu vya kike tuu

ilpokuja kujulkana nlchukiwa na ofisi nzima dem akaamishiwa makaomakuu na mimi nkaomba kurudi field tena nakumbuka nilisusa kazi kushinikiza nirudishwe field
bosi wangu alkua mzenji anaroho mbaya sjawai ona
 
hahahahahahahh kisa demu ndo ununiwe dah kweli dada zetu wanamitihani mizito wawapo makazini
 
Nilianza kazi kama field co-ordinator wa Nyanda za juu Kusini kwenye mradi fulani chini ya wamarekani,siku ya kwanza nikaibuka mzigoni nikiwa nimetupia ile kiofisi zaidi ya maelezo nna suti ya hatari duh naingia ofisini nakuta ofisi yote wamevaa casual vibaya mno nikajiona niko sehemu tofauti katika muda tofauti nashukuru kuna binti akagundua kua nimejisikia vibaya basi siku nzima akawa ananifanya nijisikie huru kua pale maana niliwaza kusepa siku ile nikabadilike angalau,ila mavazi yalinisaidia sana kua karibu na yule binti kilichofuata ni habari nyingine.
 
Nilikuwa na wajibu wa kutembelea nyumba na kujua maendeleo ya watoto kiafya. Mara ya kwanza kwenda kwenye mzunguko niliingia nyumba ya waarabu, nilimkita babu wa wale watoto akanikaribisha sebuleni, akanipa glass ya juice.

Wakati ninapambana na glass ya juice ananiambia watoto wameenda holiday Dubai na mama yao. Ningeyajua haya wala nisingehitaji kuingia ndani.

Nilopomaliza glass ya juice nilitoka. Kulikuwa funzo, kila nilikokwenda nilibeba chupa yangu ya majivya Kilimanjaro, nikiulizwa kinywaji ninsema asante.
Tashititi

Umeniacha sijaelewa kabisa kisa hiki

Msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom