jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
Nimeanzisha uzi huu maalum kwa watu wote ambao walipata matatizo mbali mbali wakati wanaanza kazi(kuajiriwa)
Mimi nakumbuka wakati naanza kazi nilipangiwa Kigoma kikazi, nakumbuka siku ya kwanza naingia kazini nikapata kizungu zungu cha ajabu usiku kichwa kiliniuma mpaka basi midaa kama ya saa 8 usiku nikapitiwa na usingizi nlivyoamka nikajikuta nipo ziwani Tanganyika yani dah!
Sitasahau kiukweli
Tupia na wewe kisa chako