Tupia kisa ulichokutana nacho wakati unaanza kazi

Tupia kisa ulichokutana nacho wakati unaanza kazi

Nilikuwa na wajibu wa kutembelea nyumba na kujua maendeleo ya watoto kiafya. Mara ya kwanza kwenda kwenye mzunguko niliingia nyumba ya waarabu, nilimkita babu wa wale watoto akanikaribisha sebuleni, akanipa glass ya juice.

Wakati ninapambana na glass ya juice ananiambia watoto wameenda holiday Dubai na mama yao. Ningeyajua haya wala nisingehitaji kuingia ndani.

Nilopomaliza glass ya juice nilitoka. Kulikuwa funzo, kila nilikokwenda nilibeba chupa yangu ya majivya Kilimanjaro, nikiulizwa kinywaji ninsema asante.
Kuna jambo umelificha hapa mkuu.
Kuna neno hauja maliza wallah...[emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom