Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Kukaribishwa jinywaji kunazototesha utendaji wa kaziTashititi
Umeniacha sijaelewa kabisa kisa hiki
Msaada tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukaribishwa jinywaji kunazototesha utendaji wa kaziTashititi
Umeniacha sijaelewa kabisa kisa hiki
Msaada tafadhali
Kweli bado una uchungu na makanikia mkuu!Hapa nimetoka kapa.Au kichwa changu bado kinawaza makinikia
Mkuu jiongeze apo!madeni kama serikali ya tz!Hahah lakini mkuu si ulikuwa umepanga bajeti sasa uliyeyukaje
anhaa hapo sawaMkuu jiongeze apo!madeni kama serikali ya tz!
ukiwa na Pesa kama unalewa hivi eeShetani alinpitia nkaisahau bajeti..si unajua tena ukiwa na pesa unaona zikifika siku 17 utapokea nyingine
Kuna jambo umelificha hapa mkuu.Nilikuwa na wajibu wa kutembelea nyumba na kujua maendeleo ya watoto kiafya. Mara ya kwanza kwenda kwenye mzunguko niliingia nyumba ya waarabu, nilimkita babu wa wale watoto akanikaribisha sebuleni, akanipa glass ya juice.
Wakati ninapambana na glass ya juice ananiambia watoto wameenda holiday Dubai na mama yao. Ningeyajua haya wala nisingehitaji kuingia ndani.
Nilopomaliza glass ya juice nilitoka. Kulikuwa funzo, kila nilikokwenda nilibeba chupa yangu ya majivya Kilimanjaro, nikiulizwa kinywaji ninsema asante.
Umepigia jibu mtari.....[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee imeniuma sana I don't know why.
Hahaha... Utunze huu Uzi kwa matumizi ya baadaye.Nitarudi kuleta mrejesho humu nikipata kazi
Huyu atakuwa aliliwa kwa kuruka ukuta ...si unajua waarabu na wahindi..Tashititi
Umeniacha sijaelewa kabisa kisa hiki
Msaada tafadhali