Tupia kituko ambacho hutokisahau katika familia yako

Duh kumbe tunaish kweny dunia tofaut San

Upande wangu mama ndo nilikua namuonea BT mbele ya baba kimy kikubwa lazm kitawale
Hahaha me maza hakuangalii Mara mbilii but Mshua we hunigusii kabisa au ntalia mpaka arudii n nakumbuka mpaka darasa la 5 nkipigwa mzee ananbeba ananibembelezaa kabisa
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Bhc ndo maan watot wa kike kipenz cha baba na wakiume kipenz cha mama
Hahaha me maza hakuangalii Mara mbilii but Mshua we hunigusii kabisa au ntalia mpaka arudii n nakumbuka mpaka darasa la 5 nkipigwa mzee ananbeba ananibembelezaa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…