Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alitoka bukoba huyo?Beki 3 mgeni alipiga dagaa na vichwa ake akamaliza akachanganya kwenye maharage, maisha yangu sijawai kula kande la vile [emoji1][emoji1]
Kwann SAS?Nkifanya kosaa siingi ndanii mpaka Mshua arudii
Aaa wee kipigoo utatembezewa apoo na maza sio cha nchii hiiKwann SAS?
Duh kumbe tunaish kweny dunia tofaut SanAaa wee kipigoo utatembezewa apoo na maza sio cha nchii hii
Hahaha me maza hakuangalii Mara mbilii but Mshua we hunigusii kabisa au ntalia mpaka arudii n nakumbuka mpaka darasa la 5 nkipigwa mzee ananbeba ananibembelezaa kabisaDuh kumbe tunaish kweny dunia tofaut San
Upande wangu mama ndo nilikua namuonea BT mbele ya baba kimy kikubwa lazm kitawale
Hahaha me maza hakuangalii Mara mbilii but Mshua we hunigusii kabisa au ntalia mpaka arudii n nakumbuka mpaka darasa la 5 nkipigwa mzee ananbeba ananibembelezaa kabisa
Iyoo nii kwelii kabisaa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Bhc ndo maan watot wa kike kipenz cha baba na wakiume kipenz cha mama
Pole mkuu tupo wengi. Ila kwako hiki ni kituko kweli!?Kuondokewana wa wazazi....ungali mdogo!
Hahahaha! Toa tu mkuu hawatoona, kwani wanaingia chit-chat?Naogopa nkitoa mkuu, mshua boy na maza watagundua kumbe ni mimi
Kituko kwa maana ya yaliyokupata baada ya kufiwaPole mkuu tupo wengi. Ila kwako hiki ni kituko kweli!?
Pole mkuu tupo wengi. Ila kwako hiki ni kituko kweli!?