Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tako lako bar
Duu umenikumbusha hii bar...ila anazo nyingi jamaa, mi najua ya temeke na buza!
Kitambo Sana hiiYetu bar, nzovwe mbeya
Pale kwenye nyama choma blck 41 Dar palikuwa na mamba napo panaitwa hivyoToroka uje ni bar ya zamani sana ipo kaloleni Arusha sio bar in such just a grocery.
sugar ray bar.Kisuma bar
hivi hii ni baa ua ukumbi wa sherehe kama harusi na vipaunyenye...?Nguruko, ipo mbez beach
Paliitwa hivyo baada ya wale wachoma nyama kujitenga na ile bar ya mwanzo na kuhamia pemben kidogo. Kwa walikuwa wanawaambia wateja watoroke ile bar ya kwanza waje ile iliyoanzishwa pembenPale kwenye nyama choma blck 41 Dar palikuwa na mamba napo panaitwa hivyo