Tupia majina ya baa za kibongo

Tupia majina ya baa za kibongo

Matako bar zipo sehemu nyingi a see nyingine inaitwa first and last bar kiwalan dar
 
Biafra bar, kilimahewa bar, Kilimanjaro bar Hizi nyingi kila kona, mwana mwana bar, kilyamahela bar.
 
Nimecheka tu unavyomsukumia jamaa kwa shimo halaf akaepa kisha ukaendeleza usanii mwenyewe,

Sasa na mimi nakuuliza huyo mlima mananasi ndio nani huyo?
Kale kadingi le profeseri,chancellor Wa chuo cha mwinukoni aka mzee wa kuchomeka
 
Back
Top Bottom