Tupia majina ya baa za kibongo

Itika place (Basihaya_Boko),
Tuleane Pub (Nyamagaro_Rorya),
Itogoro bar(Kisiwa cha mchangani_Kome.)
 
Fya tanga iko Boko basihya mwenye NATO mchaga
 
Duu umenikumbusha hii bar...ila anazo nyingi jamaa, mi najua ya temeke na buza!

Buza hakuna bar ya kisuma mkuu.

Mwembe yanga

Mbagala sabasaba

Mbagala rangi 3

Buguruni
 
Hivi si wizara ya biashara ndio inaratibu usajili na utoaji leseni kwa baa zenye majina haya? Majina machafu kiasi hiki yanaakisi social governance tuliyonayo. Watendaji wa mitaa watuondolee huu uchafu.
 
Target.... Igo.... Shabaha... Jirani.... Ozone..... Ngalawa.... Malanja... Green palm... Burget....
 
Pale kwenye nyama choma blck 41 Dar palikuwa na mamba napo panaitwa hivyo
Paliitwa hivyo baada ya wale wachoma nyama kujitenga na ile bar ya mwanzo na kuhamia pemben kidogo. Kwa walikuwa wanawaambia wateja watoroke ile bar ya kwanza waje ile iliyoanzishwa pemben
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…