asee iko wapi hii? ina nice nameMatako bar
Bao 3 bar & Geust houseBaa za Kibongo bhana, majina yake ni full vituko kwa kweli, eti baa inaitwa 'Toroka Uje' au inaitwa 'Moja Haitoshi' au 'Njaa Haina Baunsa'.
Bandugu, tupia majina ya bar zingine unazozifahamu.
Maarufu sana kwa kuuza viroba.Bavicha bar